Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 33,401
- 75,912
Dada nifah mmepata viatu jamani?
Tumepata mkuu, na mie nitaenda siku yoyote kuchuka.
Jamaa yuko vizuri kibiashara, mcheki.
Dada nifah mmepata viatu jamani?
Uwiiii vile vya mwanzo vizurii hapo juu kwenye post yake. Na vyenyewe ni elfu ngapi?! Aspecify bei haraka niagize mzigo
Tumepata mkuu, na mie nitaenda siku yoyote kuchuka.
Jamaa yuko vizuri kibiashara, mcheki.
Bado tunakuja
Vizuri sana, nadhani vitakua f 6.Ila viatu vyake havizidi f 7 na ni vizuri sana.
Kama hujafungua pm chagua hapa utakavyovipenda kisha nikutumie namba zake pm mfanye biashara.
Tumepata mkuu, na mie nitaenda siku yoyote kuchuka.
Jamaa yuko vizuri kibiashara, mcheki.
Naomba nipm namba zake dada nifah nifanye nae biashara tafadhali.
Haya nakutumia. Huyu spade4spade inabidi anipe hata pea moja ya zawadi sasa.
Haiwezekani nimpigie debe biashara yake hivi na kumtafutia wateja kisha aniache hivihivi. ..lol
Jamani huyu mtu namba yake mbona haitolewi