Tunauza nguo Kali za kiume kwa bei nafuu sana

Hizo nguo zinatengenezwa uganda au wafanyabiashara huenda tu kununua nguo huko kwa sababu ya gharama.
 
Dah tshirt uganda ni 1500-2000 ambayo haizd ata 5000 ya bongo ,,dah mnatupiga asee ebu shusha shusha
 
Back
Top Bottom