Tafadhali ingia google, angalia Tectona glandis tree species utapata majibu yako yote!Mti w mtiki unatakiwa kuvunwa baada ya miaka mingapi?na bei ya mti mkubwa ulio tayri kuvunwa kwa sasa bei gani ya soko? Please
Mitiki inalipaMitiki sio kwa nguzo za umeme hapana, mitiki inatumika sana kwenye meli na ni miti isiyooza kwa miaka mingi sana, na soko lake kubwa ni Ulaya.. Mfano ukiwa Mayo hapa Tz wazungu wanaeza kuja kukulipa na ukaendelea kuitunza mpka itkapokuwa tayari
Ni kwelinasikia hii miti huwa inanyonya maji mengi sana ardhini, yaani ukipanda kwa wingi inaweza ikaathiri hadi mazao yaliyo karibu na hiyo miti, au ilo shamba baada ya muda huwez fanya kilimo kingine, NI KWELI!?
Bado unauza miche yake?Ndio maana inashauriwa ipandwe kwenye ardhi ya peke ake usichanganye na mazao mengine
Sawa.Ndio bado ipo