Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,060
- 7,975
Kwa mjibu wa sheria ipi na kifungu gani cha hiyo sheria?Kwa Tanzania kauli ya Raisi ni sheria.
Kwa mjibu wa sheria ipi na kifungu gani cha hiyo sheria?Kwa Tanzania kauli ya Raisi ni sheria.
Tulia wewe sasa ni soko huria, Kila mtu na bei yake ,ushindani ukikushinda kafanye kazi nyingineWebsite kwa 170k?? Nyie ndio WAJINGA mnaoharibu na kushusha thamani tasnia hii kwa tamaa za kijinga