Bird Watcher JF-Expert Member Aug 19, 2013 3,116 6,200 Dec 16, 2024 #1 Wakuu Mimi natumia Sim card moja tu, Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakishangaa Ila Kiukweli naenjoy kuwa na Line moja tu
Wakuu Mimi natumia Sim card moja tu, Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakishangaa Ila Kiukweli naenjoy kuwa na Line moja tu
makaveli10 JF-Expert Member Mar 27, 2013 31,489 92,391 Dec 16, 2024 #3 Mimi mmoja wapo.. Nimejaribu kusajili mtandao mwingine kwa wakati tofauti lakini nashindwa. Ila mwenye laini zaidi ya moja simshangai pia. Ila mkuu, mpaka hili jambo dogo tu unalianzishia uzi🤣🤣
Mimi mmoja wapo.. Nimejaribu kusajili mtandao mwingine kwa wakati tofauti lakini nashindwa. Ila mwenye laini zaidi ya moja simshangai pia. Ila mkuu, mpaka hili jambo dogo tu unalianzishia uzi🤣🤣
Bird Watcher JF-Expert Member Aug 19, 2013 3,116 6,200 Dec 16, 2024 Thread starter #4 makaveli10 said: Mimi mmoja wapo.. Nimejaribu kusajili mtandao mwingine kwa wakati tofauti lakini nashindwa. Click to expand... Mimi nime stack kwenye mtandao Mmoja kwa sababu ya Kitu Kinaitwa Volte ambacho nadhani bongo hapa Ni Voda na Tigo ndio wana hio feature, Yani sipendi ile disruption of Internet wakati naongea kwa Normal call
makaveli10 said: Mimi mmoja wapo.. Nimejaribu kusajili mtandao mwingine kwa wakati tofauti lakini nashindwa. Click to expand... Mimi nime stack kwenye mtandao Mmoja kwa sababu ya Kitu Kinaitwa Volte ambacho nadhani bongo hapa Ni Voda na Tigo ndio wana hio feature, Yani sipendi ile disruption of Internet wakati naongea kwa Normal call
T Tumwesige senior JF-Expert Member Jan 28, 2013 3,416 6,163 Dec 16, 2024 #6 Siku mtandao ukigoma ndo utakuwa ukomo wa furaha yako,wenzio tuna laini 3 tunayeya
Bird Watcher JF-Expert Member Aug 19, 2013 3,116 6,200 Dec 17, 2024 Thread starter #7 Tumwesige senior said: Siku mtandao ukigoma ndo utakuwa ukomo wa furaha yako,wenzio tuna laini 3 tunayeya Click to expand... Itakuwa hatari sana Mkuu
Tumwesige senior said: Siku mtandao ukigoma ndo utakuwa ukomo wa furaha yako,wenzio tuna laini 3 tunayeya Click to expand... Itakuwa hatari sana Mkuu
kingundya JF-Expert Member Apr 22, 2013 1,977 3,304 Dec 17, 2024 #8 Mbaga Jr said: Sawa endelea kuenjoy Click to expand... Taarifa kwa jamii😀
T Tumwesige senior JF-Expert Member Jan 28, 2013 3,416 6,163 Dec 17, 2024 #9 Bird Watcher said: Itakuwa hatari sana Mkuu Click to expand... Sana mkuu