Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,116
- 6,200
Wakuu Mimi natumia Sim card moja tu, Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakishangaa Ila Kiukweli naenjoy kuwa na Line moja tu
Mimi nime stack kwenye mtandao Mmoja kwa sababu ya Kitu Kinaitwa Volte ambacho nadhani bongo hapa Ni Voda na Tigo ndio wana hio feature, Yani sipendi ile disruption of Internet wakati naongea kwa Normal callMimi mmoja wapo..
Nimejaribu kusajili mtandao mwingine kwa wakati tofauti lakini nashindwa.
Itakuwa hatari sana MkuuSiku mtandao ukigoma ndo utakuwa ukomo wa furaha yako,wenzio tuna laini 3 tunayeya
Taarifa kwa jamii😀Sawa endelea kuenjoy
Sana mkuuItakuwa hatari sana Mkuu