Tunaomba viongozi wa Simba wafanye mpango Simba ikacheze ligi kuu ya Misri

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,600
4,690
Hapo vip!!
Kwa ubora wa Simba na hadhi yake inauwezo wa kucheza ligi kuu ya misri kisha ikatwaa kombe.

Tukumbuke Simba ni timu ya 4 sasa hivi kwa ubora na ukubwa barani Afrika,hivyo kwa hujuma za wivu,za kishetani ,za kijinga,za kimaskini na kipumbavu zilizopo kwenye ligi yetu ambazo iliisababishia Simba icheze shirikisho,naona kwa lengo la Simba kulinda hadhi yake na kuepuka huu mpira wa GSM kwenye ligi yeti ni bora waanze mikakati mdogo mdogo kuangalia namna ya kupewa kibali na kucheza ligi kuu ya Misri.
Tumuache GSM na waamuzi waendelea kuikusanyia yanga point za bure.
 
20250225_030753.jpg
 
Wenzenu walianza kuomba mechi na malaika na sasa wameishia kuwa wakora tu

Post ya kibwege kweli hii

Sijui huwa akili mnazifungasha kwenye vipakiti vya ugoro?
 
Msimu ujao si mnahamia Burundi labda kuna kombe mnaweza kutwaa mkiwa uko.
 
Ile ligi ni hadhi ya yanga ambayo haijawahi kuingia top 10 ya timu bora na kubwa barani Afrika tokea Dunia kuumbwa
 
Back
Top Bottom