akatiwanya JF-Expert Member Sep 2, 2024 507 691 Oct 2, 2024 #21 Beira Boy said: Polen sana ndugu zangu alikuwa wa chama gani huyu marehem? Polen sana Shida hata uchunguzi hakuna bibi kichwa sinia kashasema kifo ni kifo tu Click to expand... Unataka kuratibu maandamano?
Beira Boy said: Polen sana ndugu zangu alikuwa wa chama gani huyu marehem? Polen sana Shida hata uchunguzi hakuna bibi kichwa sinia kashasema kifo ni kifo tu Click to expand... Unataka kuratibu maandamano?
The Legacy JF-Expert Member Jun 1, 2022 4,399 8,482 Oct 2, 2024 #22 Huyo ni Ccm bila shaka,ndio maana umepaza sauti