kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,006
- 24,174
Asubuhi ya leo kila mwananchi alikuwa busy kwenda kujitafutia ugali wake..wengi wakazi wa jiji wanatumia simu za vitochi..
Chadema na wale mashujaa wao wa mitandaoni wameshindwa vibaya sana maana wengi wao ni wanafunzi na waandishi wachache wanafunzi wengi wanategemea WIFI za bure pita uwanja wa taifa au mahotelini utawakuta wakidandia wavuja jasho vyao ni vitochi au viswaswadu hawana muda na upuuzi wa kesi ya mtu wala hawamjui mwenyekiti wa CHADEMA Mariah sarungi...
Wasanii wao wapo busy na kesi ya Mwinjaku na talaka ya Manara...matokeo yake waliokwenda kisutu ndio wale wale wa makao makuu na fulana za chama na kombati zao bila mwananchi.
Safi sana wananchi hawa wanalipana ruzuku ..wewe ukijeruhiwa hakuna wa kukupa dona kaa mbali nao CHADEMA wasikupe ulemavu wa kujitakia...kuna mmoja kafa huko kwa mujibh wa taarifa zao tunataka kuona hiyo familia ya muhanga italipwa nini na chama...bila ya hivyo wakawafungulie kesi kwa kumshawishi ndugu yao kumuingiza kwenye matatizo...