Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 438
- 1,587
Ewe Mwenyezi Mungu, Muumba Mbingu na Ardhi, ulisema ombeni mtapewa, nami nasimama mbele yako hapa uwanjani kwa Mkapa mvua ikiwa inanyesha, nakuomba allah jalali, mungu wa viumbe wote duniani, utujaalie ushindi wa kishindo leo uwanja wa Taifa ili roho zetu zipate kutulia.
Mwenyezi Mungu, wewe hushindwi na jambo, ukisema Kun basi Fayakun, tunakuomba, tunakuomba, jalali utujalie ushindi, Al Masry wasipate hata bao moja.
Inshaallah njooni uwanjani wana SImba
Mwenyezi Mungu, wewe hushindwi na jambo, ukisema Kun basi Fayakun, tunakuomba, tunakuomba, jalali utujalie ushindi, Al Masry wasipate hata bao moja.
Inshaallah njooni uwanjani wana SImba