Tarimofundiumeme
Member
- Jun 25, 2022
- 28
- 27
Katika Kipengele cha uwekaji mfumo wa Umeme katika jengo mpaka kukamilika hupitia hatua 3 kuu.
(1) kutindua ( plan and design circuit's) hii inahusika na ujengaji wa metal box zote single na double, mainswitch, waterproof box pamoja na round box na uwekaji wa bomba baada ya hatua hii plasta na bandaring ndio inafuata
(2) Hatua ya pili (Wiring) hii inahusika na uvutaji wa waya na utandikaji wa bomba juu ya dari na hii hatua ni baada ya plasta na bandaring kupigwa ndio hatua hii inafanyika.
(3) Hatua ya tatu ( Fixing accessories) hii inahusika na ufungaji wa vifaa kama vile switches, sockets na lamp holders ama Decoration lights na hii hatua ni baada ya skimming ama Fundi rangi kupita ndio inafanyika baada ya hii ndio unaweza kuomba Umeme tanesco.
NOTE: Kama una haraka na Umeme alafu una uwezo wa kufanya skimming unaweza kufunga vifaa vyako ili kuomba Umeme ila siku ukija kufanya skimming hakikisha Fundi rangi anazipiga masking tape kwa kila switches hili kutozichafua.
Ukihitaji Huduma hii. Wasiliana nami Fundi umeme mwenye leseni na pia nipo kwenye mfumo mpya wa Ni-konekt unaorahisisha upatikanaji wa Huduma.
0734840433 Call/WhatsApp.
ronicelectrical@gmail.com