S somsom Member Nov 8, 2012 44 35 Nov 29, 2023 #1 Vijana wa kike na kiume wanahitajika kuuza bidhaa za bima, kazi ni Dar es Salaam, wawe na ujuzi wa bima kuanzia ngazi ya cheti, ni kazi ya masoko, hivyo kama una sifa tajwa tafadhali ni PM kwa maelekezo ya kazi.
Vijana wa kike na kiume wanahitajika kuuza bidhaa za bima, kazi ni Dar es Salaam, wawe na ujuzi wa bima kuanzia ngazi ya cheti, ni kazi ya masoko, hivyo kama una sifa tajwa tafadhali ni PM kwa maelekezo ya kazi.
cocastic JF-Expert Member Nov 30, 2019 94,680 153,879 Nov 29, 2023 #3 Tusiokua na cheti, je unatusaidiajee?
Ironbutterfly JF-Expert Member Feb 5, 2023 3,042 8,221 Nov 29, 2023 #4 cocastic said: Tusiokua na cheti, je unatusaidiajee? Click to expand... 🤣🤣Kuwa influenza Instagram Kama kina lokole inalipa Vijana tumeni CV ajira hiyo hapo
cocastic said: Tusiokua na cheti, je unatusaidiajee? Click to expand... 🤣🤣Kuwa influenza Instagram Kama kina lokole inalipa Vijana tumeni CV ajira hiyo hapo
Mlatino Zeshalo JF-Expert Member Sep 10, 2014 2,073 3,544 Nov 29, 2023 #6 Weka tangazo lako vizuri. Limekaa kimchongo sana. Huko PM hakuna aliyewahi kutoka salama