Bar Code Sticker na Product Label kwa Ajili ya Bidhaa zako

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,530
5,598
Habari za Wakati huu.

Je Wewe ni Mjasiriamali Mdogo ambaye Unazalisha na Kufungasha Bidhaa za Aina Mbalimbali?

Masoko International Company kwa kushirikiana na Wadau wetu mbalimbali tunakuletea huduma ya Kuchapisha Bar Code Sticker na Label kwa ajili ya Bidhaa zako.

Huduma hii itakuwezesha kuuza Bidhaa zako Ndani na Nje ya Tanzania,kuuza Bidhaa zako kwenye Super market na Pia kutengeneza Brand ya Bidhaa zako.

I wapo unahitaji huduma hiyo tafadhali wasiliana nasi kwa Email:masokotza@gmail.com
 
Back
Top Bottom