Tunahitaji Vijana kuuza bidhaa za BIMA

somsom

Member
Nov 8, 2012
44
35
Vijana wa kike na kiume wanahitajika kuuza bidhaa za bima, kazi ni Dar es Salaam, wawe na ujuzi wa bima kuanzia ngazi ya cheti, ni kazi ya masoko, hivyo kama una sifa tajwa tafadhali ni PM kwa maelekezo ya kazi.
 
Back
Top Bottom