Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,275
- 21,340
Yule alinunua cheti cha form four Mkuu. Kuna uwezekano elimu yake yote alidesa. Kuna mtu humu alikua classmet wake, tumuulize.Hivi Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ana elimu gani?
Yule alinunua cheti cha form four Mkuu. Kuna uwezekano elimu yake yote alidesa. Kuna mtu humu alikua classmet wake, tumuulize.Hivi Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ana elimu gani?
Mnavyo waonea wenzenu kuwa wanavyeti feki mpo sahihi,Ila nyie mmeguswa mmajifanya hamuhitaji vyeti ila maarifaa.[HASHTAG]#pumbafu[/HASHTAG] sana ninyi.Kuna watu walikuwa wametumia vyeti vya watu kujiendeleza kielimu na kupata kazi na walikuwa wanafanya kazi haswa na wamejawa na maarifa plus utumishi wa miaka kadhaa serikalini, LAKINI baada ya sakata hili la vyeti uhakiki wakaacha kazi plus kupoteza stahiki zao.Leo hii Mmeguswa nyie kuhusu taaluma zenu WATU wanapotea kisa kuulizia taaluma zenu mmezipataje ???[HASHTAG]#where[/HASHTAG] did you defend your thesis MR.X?? MR.Y kuna habari kuwa umepata zero kuanzia la saba mpaka chuo!!!!Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Hata kama ni ndogo lakini siyo ya kugushi....Hivi Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ana elimu gani?
Yote hangaika nayo lakini kumbuka kwamba UDANGANYIFU HAUKUBALIKI .Mr X ana maarifa lakini hana cheti, Mr Y ana cheti lakini hana maarifa na Mr Z ana maarifa na cheti lakini jina ni la mwanakijiji mmoja std seven anayechunga huko kijijini.Ili taifa liendelee na kusonga mbele tunamuhitaji nani na yupi haitajiki kati ya X,Y na Z?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Jioni njema!
Ni vema akaulizwa Daudi Bashite .Hivi Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ana elimu gani?
anatumia cheti chake halali cha form six hajafoji hata kama ni failure ni cha kwake. Hapa tunazungumzia walioiba vyeti, hatutafuti waliofeliHivi Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ana elimu gani?