chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 9,319
- 19,993
Hivi hakuna tajiri ambaye mwenye uwezo wa kununua meli inayoweza kuvua tani kubwa za samaki.
Sawa tuna serikali njia za reli ila zimeshindwa kuwa na mabehewa yenye friji kusambaza bidhaa hii ya samaki.
Tuje kwa wawekezaji hakuna mtu ambaye ataweza kuonesha kumbe watu wa maziwa tunaweza kupata samaki fresh kuja kwenye ndege za mizigo.
Samaki wa baharini ndio maana watu wa mikoa hawafahamu mpaka waje dar