Tumsaidie huyu kimawazo

Mahari ni mali ya muolewaji hivyo anayepaswa kuchukua ni binti mwenyewe,labda ubishani uwe ipokelewe na nani lakini kwenye hilo mwenye haki ni baba mzazi au ndugu wa baba mzazi kwa sababu baba wa kambo hana nasaba na mtoto wa kambo hata amlee vipi hana haki ya kumuozesha binti.
 
Baba sio swala la DNA Ila ni MTU yeyote ambaye alitimiza haya mambo.

@ Malezi ya kiroho
@ Kukusapoti kiuchumi
@ Kukulea na kukupa muongozo mzuri kuhusu maisha.
@ MTU aliyekufanya kuwa na tija (productive)

Kuitwa baba unahitaji uwe umefanikiwa kutimiza hayo mambo kwa 70%.

Mpaka hapo ukifanya maamuzi yoyote ya kutoa mahari utakuwa umeshajua who is your real father between sperms thrower and responsible father
 

Waislam hatuna tatizo hilo, mahari ni ya mwanamke anaeolewa, si ya baba wala si ya mama.
 
Umetoa hoja ya maana sana. Acha baba wa kambo wajifunze jambo
 
"Kuoa Mwanamke mwenye Mtoto ni sawa na kununua Kiwanja chenye Mgogoro....."
Kamwe washaurini waoaji wasijiingize Kuoa Mwanamke mwenye watoto/Mtoto kwani mwisho ni majuto.
Mtoto wa Mwenzio ni wa Mwenzio tu na kamwe akikua ni lazima atamtafuta babake mzazi na hasa mtoto wa Kike.
Kwenye Scenario hii, Pamoja na kwamba binti kachemsha ila Baba wa Kambo yeye Kayatokosha kabisaaaaa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…