Mahari ni mali ya muolewaji hivyo anayepaswa kuchukua ni binti mwenyewe,labda ubishani uwe ipokelewe na nani lakini kwenye hilo mwenye haki ni baba mzazi au ndugu wa baba mzazi kwa sababu baba wa kambo hana nasaba na mtoto wa kambo hata amlee vipi hana haki ya kumuozesha binti.Binti aliachwa na baba yake akiwa na miaka 3
Baba wa kambo akalea akasomesha mpaka akafika chuo kikuu na sasa ni tabibu
Amepata mchumba sasa anataka kumuoa binti akasema mahari apewe baba yake mzazi
Yule wa kambo amegoma kata kata mzigo uje kwake yeye ndie aliemtunza kuanzia mdogo mpaka alipo sasa nadhan atakuwa humu na kusoma mawazo yenu
Nimeikuta mahali
UBUNTU - BOTHO