GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 4,590
- 6,761
Binti aliachwa na baba yake akiwa na miaka 3.
Baba wa kambo akalea akasomesha mpaka akafika chuo kikuu na sasa ni tabibu.
Amepata mchumba sasa anataka kumuoa binti akasema mahari apewe baba yake mzazi.
Yule wa kambo amegoma kata kata mzigo uje kwake yeye ndie aliemtunza kuanzia mdogo mpaka alipo sasa nadhan atakuwa humu na kusoma mawazo yenu;
Nimeikuta mahali
UBUNTU - BOTHO