Kama zipo picha halisi sawa, ila hicho ulichokiweka ni Prototype, siyo kitu halisi hata kidogo. Hata hivyo ni Legacy ya mzee Mstaafu JK! Atakumbukwa kwa kuanzisha idea ya Ujenz wa Chuo hicho kule Kwembe/Nlonganzila ndanindani huko Kibamba!Hii ndiyo Hospitali yetu mpya na iko mbioni kukamilika ambayo ni kubwa klk zote (ukiondoa AK) Kusini mwa Jangwa la Sahara!
HAPA KAZI TU!
Ujenzi unaendelea na uko mbioni kukamilika!
MUHAS First Phase construction completed
HAPA KAZI TU!