NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,918
Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa maksi, kupata upendeleo kutoka kwa lecturer kuzidi wanafunzi wengine, kupewa A au B za chupi wanapopata F za kwenye dawati, n.k.
Na wahanga wakubwa ni wanafunzi wa kike wenye uwezo mdogo wa kufaulu, hawa hata kujitetea inakuwa ngumu.
Kuna Kisingizio cha kipuuzi eti wote ni watu wazima, hivi tuchukulie mfano askari anambambikia binti kesi ila anamuomba penzi ili amuachie, binti akitoa penzi hapo kisingizio ni watu wazima ? Binti kakamatwa na kosa ila kwa kuona kwamba askari ndie anaeweza kumwachia anamshawishi askari wafanye mapenzi ili aachiwe, hapo kisingizio ni watu wazima ?
Lecturer ana power ya kufelisha wanafunzi hasa wale ambao wakifaulu hawazidi maksi 50, hapa lecturer anaweza kucheza na kalamu kufilisi hata maksi 12 za mwanafunzi ili afeli, Lakini pia wanaweza kufaulisha hata wanafunzi wanaopataga matokeo mabaya kwa kuwapa mitihani na majibu kabla ya kuufanya na wanafunzi wengine ama kusahisha wanavyojua wao. Kwa hali hii Lecturers wanajikwapulia wanafunzi wa kike kwasababu ya power waliyo nayo ya kuamua hatma ya mwanafunzi na wanafunzi pia wa kike wakiona mambo yanaenda kombo wanaingia tamaa ya kuanza kujiuza miili yao kwa lecturers kwajili ya maksi.
hakuna mapenzinya hiari bali kuna power ya lecturer kufelisha ama kufaulisha,
Lecturer akiomba penzi kwa mwanafunzi wa kike ni ngumu kukataliwa kwasababu mwanafunzi wa kike ataogopa akimkatalia atachukia na atalipiza kisasi kwa figisu za kumfelisha, kumpunguzia marks, n.k.
Wale wabishi wa kutoa penzi hufelishwa, hii inakuwa message sent and delivered kwamba wakiendelea ubishi watafelishwa tena na hii inaweza kupelekea wasihitimu, matokeo yake inabidi tu watoe penzi kishingo upande.
Wanafunzi wavivu na ambao hawapo serious wanaopenda mtermko, huingia tamaa ya kumpa penzi lecurer, wanajua ni wazi kabisa hata lecturer anaweza kuwapa mtihani na majibu yake kabla ya kuufanya endapo wakimpa penzi. Hapa ni mbuzi kafia kwa muuza supu.
Tukija kwa wanafunzi wengine wana uwezo mdogo darasani licha ya kuwa na bidii, hawa nao ni easy targets, Lefturer akiomba inabidi apewe na hata asipoomba wataingia kundi la wenzao wale wa kitonga kwa kujilengesha kwa lecturers.
Suluhisho.
Tuige nchi zilizoendelea kwenye sheria za kukabiliana na huu ufuska.
Lecturer anapewa penzi si kwajili anapendwa bali ni kwasababu ya marks, hizo marks zinakindwa zisiharubike amba zinabustiwa zikiwa ndogo kwa kutoa penzi.
Kwa kuliona hili inabidi mapenzi kati ya lecturer na mwanafunzi yapigwe marufuku, iwe marufuku Lecturer kuomba penzi kwa mwnafunzi na iwe marufuku mwanafunzi kuomba penzi kutoka kwa lecturer,
Adhabu iwe ni jela na kufutiwa kibali cha kufanya kazi yoyote serikalini.
Hakuna cha watu wazima kuelewana wala nini, ni ufuska !!