Tume ya Utumishi wa Mahakama: Nafasi za Kazi

Mbona Huwa mnajenga baada ya Kustaafu Teacher is a Cursed Professional
Cheki akili yako ilivyojaa matope we nyumbu.hujui kujenga ni akili ya mtu.bora hao walimu wanaojenga baada ya kustaafu kuliko nyi nyumbu ambao kila siku mnatupiga mizinga ya vocha huku mtaani mnakufa mnazunguka na baasha mkononi
 
Uwe hakimu sijui mwalimu...mshahara sijui sh ngapi utajua mwenyew! Tatizo unayafurahia maisha unayoishi?
 
Kiukweli wanasheria watu wa mbwembwe xnVita hii Lawyers v Teachers
Nnachoona maticha wana ajira so wanatutambia cc wauza sura kwenye DP zetu "lawyers in making" wkt ni wabeba bahasha tu...Binafsi nna kadiploma ka sheria
 
kaongeze elimu mkuu,bila kusahau kupitia pale law school of tz(LST)...baada ya hapo kamwe hutojutia kwanini uliamua kusomea fani hii tukufu na yenye hadhi na heshima kote duniani tokea enzi na enzi(we call it a noble profession,a family from high rank of the society)
 
Law imebaki jina tu siku hizi, imekuwa sawa na secretari course.
 
Walimu mna mbwembwe sana hamjui kwamba nyie ni watu ambao mnaishi katika mazingira magumu kila siku mnatishia kugoma kisa mishahara haiwatoshi. Pia angalia hata mtaani mnaongoza kwa kudaiwa katika maduka ya watu.

Halafu ushawahi kusikia wanasheria wanagoma kisa mishahara midogo??

Jiheshimu nyie walimu lawyer ni mtu mwingine maana hela anayotengeneza mwanasheria kwa siku moja ni mshahara wako wa miaka miwili ww mwalimu..kazi haina marupurupu unategemea kimshahara cha laki tatu sijui..

Huyo lawyer unamdharau ukitapeliwa unaenda kumpigia magoti akutetee.
 
Sijataka tafsiri ya advocate kwa kiswahili..nimetaka maana ya advocate.
Au labda niulize hivi,nini maana ya wakili?
Maana yangu ya kuuliza hivo ni kuna mdau hapo ameuliza eti advocate kwa mwezi anachukua kiasi gani?
Wewe elezea tu. Wakili ni mtu anayefanya kazi ya kuzungumza kwa niaba ya mtu mwingine mahakamani.
 
Back
Top Bottom