Tume ya Utumishi wa Mahakama: Nafasi za Kazi

lovely097

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
277
146
NAFASI 444 ZA KAZI-TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA.

A: HAKIMU MKAZI-TJS2(264) sifa; LLB+LSC

B:KATIBU MAHSUSI III-TGSB(74) sifa CSE+SECRETARIAL STAGE 3 WITH 80w.p.m Shorthand.

C:MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU-II TGSB(22) sifa CSE/ACSE+Dip.of Law with Upper 2nd class

D:MSAIDIZI WA MAKTABA-II-TGSB(1) sifa CSE+Library assistants certificate.

E:MPOKEZI-TGSA-(1) sifa CSE with passes in English,Swahili & Maths + telephone operation certificate.

F: DEREVA-II-TGOSA(5) sifa CSE+GRADE C DRIVING LICENSE+ 3YRS EXPERIENCE

G:MSAIDIZI WA OFISI-TGOSA-(32) sifa CSE with passes in English,Swahili&Maths

H:MLINZI-TGOSA-(45) sifa, CSE+MAFUNZO JKT/MGAMBO/POLICE/ZIMAMAMOTO.
MASHARTI.

Maombi yaambatishwe na nakala za vyeti vya taaluma na kuzaliwa, CV, picha 2(passport size), Maombi yapitishwe kwa katibu tawala wa wilaya(DAS) anayoishi mwombaji, waombaji waandike majina yao yot matatu(3) kwa kirefu na nafasi inayoombwa iandikwe nyuma ya bahasha. Maombi yote yatumwe kwa Posta kwa,

KATIBU,
TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA,
S.L.P 8391,
DAR ES SALAAM.
TANZANIA.
chanzo;dailynews 20/01/2016
 
kiufupi nafasi zilizotangazwa ni za "hakimu mkaazi daraja la pili" maeneo ya kazi ni mahakama za mwanzo katika wilaya zilizoainishwa(ni nyingi kutoka mikoa takribani 13)..nafasi zenyewe ni 264.
Sifa:uwe na shahada ya sheria kutoka chuo kinachotambuliwa na pia uwe na cheti cha mafunzo ya vitendo kutoka law school.
Kiwango cha mshahara:TJS 2
 
Kuna nafasi za uhakimu zimetangazwa kupitia daily news la tarehe 19 au 20
Lakini nimelitafuta nimelikosa so naombeni mtu mwenye Hiyo copy anisaidie plz.
Asanteni
Hawa ndio waliokuwa wanawacheka BAED vyuoni nakuwaona wenzao wamepotea njia..mtaisoma number nyumbu nyie hakuna ajira ckuhz
 
Mkuu unajua huyo akishafaulu Law School akapewa Muhuri na Cheti kama advocate Kipato cha BAED watano hakimfikii! huyo hizo 710,000 per month unafundisha kiswahili hakina tuition! ki ukweli Mwalimu halingani na Advocate! Endelea hivyo hivyo mkuu unajisifu na BAED Utajenga nyumba baada ya Kustaafu.
 
dah,mkuu mbona unamkata maini mwenzko sasa...mimi nliamua kumuacha tu ili ajifariji,sikutaka kabisa kumpa udambu akaanza kuondokewa na hii spirit ya kupenda his/her career ambayo anayo kwa sasa.
 
Advocate anachukua ngapi kwa mwezi baada ya makato ya kodi?
 
Mkuu unajua huyo akishafaulu Law School akapewa Muhuri na Cheti kama advocate Kipato cha BAED watano hakimfikii! huyo hizo 710,000 per month unafundisha kiswahili hakina tuition! ki ukweli Mwalimu halingani na Advocate! Endelea hivyo hivyo mkuu unajisifu na BAED Utajenga nyumba baada ya Kustaafu.
Naona nyumbu upo kumfariji mwenzio..mshahara gani huo wa advocate serikalini uuweke hapa ambao mshahara wa baed watano hawamfikii.nyie endeleeni kuzunguka na vibahasha mpaka akili iwakae sawa na mkiitwa kwenye interview wanahitajika watu 50 mnakutana nyomi la watu 20000 mnapigwa chini mnabaki kutupigia pigia mikelele tu mtandaoni huku
 
dah,mkuu mbona unamkata maini mwenzko sasa...mimi nliamua kumuacha tu ili ajifariji,sikutaka kabisa kumpa udambu akaanza kuondokewa na hii spirit ya kupenda his/her career ambayo anayo kwa sasa.
We endelea kutafuta hilo gazeti ufanye application muitwe watu 20000 kwenye interview wakati watu wanaoitajika ni 250 ndo akili itakukaa vizuri.nyie nyumbu roho huwa inawauma sana wenzenu wanavyopewa post bila kusota kitaa aakati ndo mlikuwa mnawacheka shuleni mnabaki kuwapiga tu mizinga ya vocha sahv
 
Mbona Huwa mnajenga baada ya Kustaafu Teacher is a Cursed Professional
 
NAFASI 444 ZA KAZI-TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA.

A: HAKIMU MKAZI-TJS2(264) sifa; LLB+LSC

B:KATIBU MAHSUSI III-TGSB(74) sifa CSE+SECRETARIAL STAGE 3 WITH 80w.p.m Shorthand.

C:MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU-II TGSB(22) sifa CSE/ACSE+Dip.of Law with Upper 2nd class

D:MSAIDIZI WA MAKTABA-II-TGSB(1) sifa CSE+Library assistants certificate.

E:MPOKEZI-TGSA-(1) sifa CSE with passes in English,Swahili & Maths + telephone operation certificate.

F: DEREVA-II-TGOSA(5) sifa CSE+GRADE C DRIVING LICENSE+ 3YRS EXPERIENCE

G:MSAIDIZI WA OFISI-TGOSA-(32) sifa CSE with passes in English,Swahili&Maths

H:MLINZI-TGOSA-(45) sifa, CSE+MAFUNZO JKT/MGAMBO/POLICE/ZIMAMAMOTO.
MASHARTI.

Maombi yaambatishwe na nakala za vyeti vya taaluma na kuzaliwa, CV, picha 2(passport size), Maombi yapitishwe kwa katibu tawala wa wilaya(DAS) anayoishi mwombaji, waombaji waandike majina yao yot matatu(3) kwa kirefu na nafasi inayoombwa iandikwe nyuma ya bahasha. Maombi yote yatumwe kwa Posta kwa,

KATIBU,
TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA,
S.L.P 8391,
DAR ES SALAAM.
TANZANIA.
chanzo;dailynews 20/01/2016
Nafas za kazi hizo wandugu
 
Back
Top Bottom