Tume ya Taifa ya uchaguzi yafafanua kuvuliwa ubunge Sophia Simba baada ya kuvuliwa uanachama CCM

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa; kufuatia Mbunge wa Viti Maalum, SOPHIA MNYAMBI SIMBA kufukuzwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi tarehe 11 Machi, 2017 kiti cha Mbunge huyo wa Viti Maalum Wanawake kwa tiketi ya CCM kiko wazi.

Kwa mujibu wa Ibara ya 67 (1) (b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ili mtu ateuliwe au achaguliwe katika nafasi ya Ubunge ni lazima awe mwanachama aliyependekezwa na Chama chake husika cha Siasa.

Kwa kuwa Ndg. SOPHIA MNYAMBI SIMBA amefukuzwa uanachama wa Chama kilichomdhamini, Ibara ya 67 (2) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaelekeza kuwa Mbunge huyo amepoteza sifa za kuteuliwa au kugombea Ubunge.

Kutokana na kuwepo kwa nafasi wazi ya Ubunge wa Viti Maalum, taratibu za kujaza nafasi hiyo zinaendelea kwa kuzingatia kifungu cha 86A (8) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343.

Jaji (R) Semistocles Simon Kaijage

Mwenyekiti

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

12 Aprili, 2017

Huku kwa akina mdee ni tofauti jaji aje atueleze! Au huku hapamhusu!? Kwa Sofia simba alielezea vizuri, kwa Halima mdee kakaa kimya. Gademitti! In lemutuz voice
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa; kufuatia Mbunge wa Viti Maalum, SOPHIA MNYAMBI SIMBA kufukuzwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi tarehe 11 Machi, 2017 kiti cha Mbunge huyo wa Viti Maalum Wanawake kwa tiketi ya CCM kiko wazi.

Kwa mujibu wa Ibara ya 67 (1) (b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ili mtu ateuliwe au achaguliwe katika nafasi ya Ubunge ni lazima awe mwanachama aliyependekezwa na Chama chake husika cha Siasa.

Kwa kuwa Ndg. SOPHIA MNYAMBI SIMBA amefukuzwa uanachama wa Chama kilichomdhamini, Ibara ya 67 (2) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaelekeza kuwa Mbunge huyo amepoteza sifa za kuteuliwa au kugombea Ubunge.

Kutokana na kuwepo kwa nafasi wazi ya Ubunge wa Viti Maalum, taratibu za kujaza nafasi hiyo zinaendelea kwa kuzingatia kifungu cha 86A (8) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343.

Jaji (R) Semistocles Simon Kaijage

Mwenyekiti

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

12 Aprili, 2017

Mataga hawataki kuelewa
 
Ahsanteni sana kuifukua hii, Ndugai na CCM wamekuwa wajinga sana
 
Haya Ndungai lete upupu wako tena. Kwanza we ni nani katika nchi hii hadi uikanyage kanyage Katiba namna hii? Wacheni double standards zenu za kifala.
 
Walioweka sheria hawakuwa wajinga ndio maana mabeberu yanamdharau sana Jiwe Na genge lake la watekaji
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa; kufuatia Mbunge wa Viti Maalum, SOPHIA MNYAMBI SIMBA kufukuzwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi tarehe 11 Machi, 2017 kiti cha Mbunge huyo wa Viti Maalum Wanawake kwa tiketi ya CCM kiko wazi.

Kwa mujibu wa Ibara ya 67 (1) (b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ili mtu ateuliwe au achaguliwe katika nafasi ya Ubunge ni lazima awe mwanachama aliyependekezwa na Chama chake husika cha Siasa.

Kwa kuwa Ndg. SOPHIA MNYAMBI SIMBA amefukuzwa uanachama wa Chama kilichomdhamini, Ibara ya 67 (2) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaelekeza kuwa Mbunge huyo amepoteza sifa za kuteuliwa au kugombea Ubunge.

Kutokana na kuwepo kwa nafasi wazi ya Ubunge wa Viti Maalum, taratibu za kujaza nafasi hiyo zinaendelea kwa kuzingatia kifungu cha 86A (8) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343.

Jaji (R) Semistocles Simon Kaijage

Mwenyekiti

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

12 Aprili, 2017

Wakuu mkisoma vizuri mtaona chama Changu CCM kilimwaandikia Spika Kumwarifu kuhusu sophia Simba kuvuliwa uanachama NDIPO Spika akaiandikia NEC. Je CDM wameshamwandikia Spika kumwarifu kuhusu kuvuliwa uanachama kwa akina mama/dada 19 ambao walikuwa wanachama wake? Je CDM ina dhamira ya kumwandikia Spika kumwarifu kuhusu kuvuliwa uanachama kwa akina mama/dada 19 ambao walikuwa wanachama wake? Je CDM inaweza kumwandikia Spika wa Bunge kumwarifu kuhusu kuvuliwa uanachama kwa akina mama/dada 19 (wanachama wake) ambao wao CDM wanadai sio wabunge?

Ahsante

CC Pascal Mayalla ,mama D
 
Kwa akili yako unafikiri CDM, ikimwandikia barua Spika kumwarifu kuhusu kuvuliwa uanachama hawa wanachama 19, nini kitafuata?
 
Wakuu mkisoma vizuri mtaona chama Changu CCM kilimwaandikia Spika Kumwarifu kuhusu sophia Simba kuvuliwa uanachama NDIPO Spika akaiandikia NEC. Je CDM wameshamwandikia Spika kumwarifu kuhusu kuvuliwa uanachama kwa akina mama/dada 19 ambao walikuwa wanachama wake? Je CDM ina dhamira ya kumwandikia Spika kumwarifu kuhusu kuvuliwa uanachama kwa akina mama/dada 19 ambao walikuwa wanachama wake? Je CDM inaweza kumwandikia Spika wa Bunge kumwarifu kuhusu kuvuliwa uanachama kwa akina mama/dada 19 (wanachama wake) ambao wao CDM wanadai sio wabunge?

Ahsante

CC Pascal Mayalla ,mama D
Waandike barua ya nini mkuu, kwani wao ndiyo waliowateua huoni kwa kuandika barua wataonyesha kuwa ni kweli wao ndiyo walioidhinisha mchakato wa kuwapeleka bungeni?

Hayo yatafanywa na waliowapeleka huko bungeni kama ni tume au vipi
 
... ubunge (Viti Maalumu) wa Sofia Simba ni kwa kupendekezwa/kuteuliwa na chama chake (CCM). Ndio maana CCM wakijua wanaye mwanachama wao ambaye ni mbunge walikuwa na kila sababu ya kumtaarifu Spika kwamba yule mwanacham wetu ambaye ni mbunge sio mwanachama wetu tena.

Sasa kwa Chadema ni lini waliwapendekeza Covid-19? In short kwenye records za Chadema na kiwngineko including NEC na Bungeni, Chadema haikuwahi kupendekeza/kuteua Viti Maalumu na kwa mana hiyo hawana mbunge wa viti maalumu Bungeni. Watamwandikia barua Spika kwa grounds zipi?

Jambo moja la muhimu sana walilolifanya ni kuwavua uanachama; hilo linatosha! Kwamba wataendelea au hawataendelea kuwa wabunge sio concern ya Chadema. Ni jukumu la walioapa kulinda Katiba na sheria; watajua wenye cha kufanya au kutofanya. Sakata hili litatumika sana kama rejea huko vyuo vikuu miaka ijayo kuonesha upumbavu uliowahi kuwemo katika taifa hili!
 
Waandike barua ya nini mkuu, kwani wao ndiyo waliowateua huoni kwa kuandika barua wataonyesha kuwa ni kweli wao ndiyo walioidhinisha mchakato wa kuwapeleka bungeni?

Hayo yatafanywa na waliowapeleka huko bungeni kama ni tume au vipi
Ingekuwa ni swali la mtihani you deserve 100%.
 
Wakuu mkisoma vizuri mtaona chama Changu CCM kilimwaandikia Spika Kumwarifu kuhusu sophia Simba kuvuliwa uanachama NDIPO Spika akaiandikia NEC. Je CDM wameshamwandikia Spika kumwarifu kuhusu kuvuliwa uanachama kwa akina mama/dada 19 ambao walikuwa wanachama wake? Je CDM ina dhamira ya kumwandikia Spika kumwarifu kuhusu kuvuliwa uanachama kwa akina mama/dada 19 ambao walikuwa wanachama wake? Je CDM inaweza kumwandikia Spika wa Bunge kumwarifu kuhusu kuvuliwa uanachama kwa akina mama/dada 19 (wanachama wake) ambao wao CDM wanadai sio wabunge?

Ahsante

CC Pascal Mayalla ,mama D
Chadema19 na chadema uongozi wa juu wanaweza kuwa kweli walitofautianz lakini kwa sasa wanajua wanachokifanya, hakuna nia ya dhati ya kuwafukuza 19 ila ipo nia ya dhati ya kuuaminisha umma kwamba wako imara japo tunawaona kabisa wanaogopa. Taabu ipo kwa wafuasi
 
Sio chadema 19, ni covid19 that 19 thing is highly contagious usiichanganye na wateule
 
Waandike barua ya nini mkuu, kwani wao ndiyo waliowateua huoni kwa kuandika barua wataonyesha kuwa ni kweli wao ndiyo walioidhinisha mchakato wa kuwapeleka bungeni?

Hayo yatafanywa na waliowapeleka huko bungeni kama ni tume au vipi
... ubunge (Viti Maalumu) wa Sofia Simba ni kwa kupendekezwa/kuteuliwa na chama chake (CCM). Ndio maana CCM wakijua wanaye mwanachama wao ambaye ni mbunge walikuwa na kila sababu ya kumtaarifu Spika kwamba yule mwanacham wetu ambaye ni mbunge sio mwanachama wetu tena.

Sasa kwa Chadema ni lini waliwapendekeza Covid-19? In short kwenye records za Chadema na kiwngineko including NEC na Bungeni, Chadema haikuwahi kupendekeza/kuteua Viti Maalumu na kwa mana hiyo hawana mbunge wa viti maalumu Bungeni. Watamwandikia barua Spika kwa grounds zipi?

Wakuu 3 Angels message na dudus nashukuru kwa maoni yenu. Naona maoni yenu yanaonyesha kwamba hakuna haja au sababu ya CDM kumwandikia spika kuhusu maamuzi ya kuwafuta uanachama akina dada/mama 19, Je sasa yatakuwa na "Impact" gani maamuzi ya kikao cha kamati kuu ya chama chao? Je bila kutoa taarifa rasmi kwa mamlaka husika, hao akina dada/mama 19 si wataendelea na Ubunge wao hadi mwaka 2025? Nani ana cha kupoteza hapo?

Ahsante
 
Back
Top Bottom