- Thread starter
- #21
Kwa mtazamo wako uneshauri nini hili sakata liweze kuisha salamaHalafu kumbuka kosa kwa namna yoyote lipo upande wetu. Hawa ACACIA tutawalipa kwa namna yeyote tutakayo wasumbua.
Tratibu za mikataba zilifuatwa vyama kwa upande wa ACACIA, tukaridhia na kusaini. Upande wetu ndio ulikua na shida, watu walipelekeshwa na vijisent sasa tunahaha.