Lutala
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 848
- 104
kASOME mUSLIM uNIVERSITY mOROGORO. wALIMU WANAINGIA DARASANI KILA BAADA YA DK 40
Hii imetulia
kASOME mUSLIM uNIVERSITY mOROGORO. wALIMU WANAINGIA DARASANI KILA BAADA YA DK 40
ni kweli hiyo university ni usanii mtupu. Kuna jamaa wamemaliza huko na kupata bsc za it lakini loh! Hawajui chochote ni wasanii tu! Wengine wameajiriwa katika maofisi makubwa ati wanaitwa "wachambuzi wa mifumo ya kompyuta", cheo chenyewe cha kisanii! Mara nyingi sisi wengine tunaojiairi tumeitwa mara nyingi kurekebisha masuala walioboronga hao wasanii. Mmoja nilidirii kumuuliza inakuwaje? Akadai eti "braza sisi hatukupata nafasi ya computer kabisa"!