Tulipokuwa makinda wala tusingekubaliana na wazo la kumnunulia gari awala lakini kumbe safari ya mafanikio ailandani na ideology ya njaa.

Jul 28, 2024
90
122
Mafanikio ya pesa ni addictive, utahitaji zaidi na zaidi, leo upo middle class lakini unahisi unastahili kuwa upper middle class.

Mafanikio ya pesa ni "very demanding", utahitaji vya gharama zaidi na zaidi, leo utanunua harrier lakini unahisi kwa uwezo ulionao unapaswa ununue fortuner.

Kama vile utapokuwa katika hali ya kumiliki vitu vizuri sana kwa ajili ya mahitaji yako hautotaka tena kwa ajili ya mahitaji yako ya mapenzi uwe na mabinti wenye uzuri wa kawaida:
Screenshot_20240804-110341.png


ila utataka mabinti walio sexy:
b448e83f9b9c32fb0ae538992d763c06.jpg


So, mabinti wenye makalio makubwa, macho kulegea na ngozi ya embe dodo lililoivaa wameshajua kuwa demand zao ni kubwa katika jamii ya wenye pesa za kutosha so na wao wanakuwa wajanja kukupikia mapenzi feki.

Mapenzi ambayo wewe utaona ni bonge la ngekewa kupelekea sasa uwaze kuanza kumuhudumia for the sake ya kwamba asije kukuchukulia poa poa kama anavyowaona boda wake na mchoma chips wake ila cha kushangaza ni kuwa wanangu wa boda boda na mchoma chips wanapewa style hio hio unayopewa wewe, hahahahaha

Anyway Guys life is amazing, tuishi tu.
 
Back
Top Bottom