LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 19,889
- 30,050
Isipowaka utabaki nayo maisha yote kifo tu kitawatenganisha, na hii ni baada ya kufungiwa ndoa na kuapa hata ije shida gani hamtaachana mtavumiliana mwanzo hadi mwishoMitambo gani hairuhusiwi kujaribiwa? Ulipe pesa bila kujaribu, isipowaka....