Mwaka Jana kati ya Julai na Oktoba kuliibuka matangazo mengi ya ubora na uzuri wa Iphone 15 na 16 copies!
Tukaambiwa sio copy tu ni high copy!
Mojawapo walioingia mkenge ni Mimi hapa! Nikaagiza kwa dada Moja mwenye biashara zake China Dar!
Kwa kifupi ,hizi sio simu ni za hovyo,tena hovyo kweli!
Nawashauri wanaotaka kununua wakimbie nduki,kurudi.nyuma!
Leo hii imepoteza Network na fundi kaniambia TCRA,wameshaifungia!
Kizuri share na wenzako....usiingie mkenge!