Tulioonewa na kufungwa na serikali

Mkuu huwa nakuona sana Unajihusisha na Siasa na Ni mfanyakazi wa UDSM. Chagua Moja you will end up in disasters!
We "Punguani" hebu acha kutisha watu "kipuuzi" Kwani Kuwa UDSM Ndio kunazuio la Kujihushia na siasa?

Unazijua "standing orders"?
 
Ni vema wakalipa kisasi kwanza , halafu baadaye watubu .

Unajua , siku zote hawa polisi , tunawaambia kwamba kuna maisha baada ya huo upolisi wenu ,

Kwa mfano , Omary Mahita baada ya kustaafu alidhalilishwa mahakamani kwa kosa la kumtelekeza house girl wake baada ya kumtundika mimba , haikufahamika kama alimbaka au walikubaliana .
Kwa wakristo hairuhusiwi mkuu
 
Mkuu huwa nakuona sana Unajihusisha na Siasa na Ni mfanyakazi wa UDSM. Chagua Moja you will end up in disasters!
Mbona Kitila Mkumbo alijihusisha na siasa akiwa UDSM? Kwani kuna shida?
 
Nakuhakikishia siku utakayo lipa kisasi utakamatwa na kurudishwa sero mazima kama hutauawa siku hiyo!
 
Pole sana Mkuu. Ndiyo tatizo la hii Serikali dhalimu yoyote anayewapinga watamuhusisha na CHADEMA hata kama hajawahi kujihusisha na chama hicho hata kwa sekunde moja. Dikteta uchwara katika ubora wake wa kuwanyanyasa, kuwaonea na kuwatisha Watanzania wasio na hatia yoyote ile. Halafu utamsikia, "Niombeeni Watanzania" ni nani mwenye akili nzuri na kujitambua atamuombea mtu katili kiasi hiki.
 
Mkuu huwa nakuona sana Unajihusisha na Siasa na Ni mfanyakazi wa UDSM. Chagua Moja you will end up in disasters!
Michango yako inaakisi pia uwezo wako wa kufikiri, huwezi ukawa unafikiri hivi then ukajiita great thinker. some thing wrong.
 
Mkuu huwa nakuona sana Unajihusisha na Siasa na Ni mfanyakazi wa UDSM. Chagua Moja you will end up in disasters!
SIASA ni nini>
Na ni wapi wamesema mfanyakazi wa UDSM hatakiwi kujihusisha na siasa?
Au ni kwenye unwritten katiba ya CCM?
 
Back
Top Bottom