kubwa jinga jr
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 292
- 309
- Thread starter
- #21
ndio wakati wetu kuwaonesha kwamba tunawezaMimi mwenyewe nimefoji vyeti na niko TRA
ndio wakati wetu kuwaonesha kwamba tunawezaMimi mwenyewe nimefoji vyeti na niko TRA
na bado sana mpaka utembelee kuchaMungu saidie baba.
Mimi nimefoji cheti cha ndoa na hivi sasa naishi ya mke wa jamaa yangu home.
hata yule askari mmoja wetu katika sisi tulofoji vyetiEti magufuli kachukizwa na Heading za magazeti ya leo, Anadai jamaa aliyetoa bastola alifanya hivyo kwa utashi wake , serikali haihusiki na kile alichofanya.
Nadhani alitegemea sinema yake ya kichina ya jana itapewa promo. Cha ajabu ilipoteza mvuto kabla haijafika kwa walaji.
basi nikupe ww ili jina km umelipendaKweli kubwa jinga
kama kawa baba mwaka huu mpaka jasho la meno liwatokeChapeni kaazi
Huu ni upuuziKwanza kidumu chama chetu chama cha mapinduzi
ccm oyeeeeee!!!!
kutokana hali inavyoendelea hapa nchini nimeona tuitane hapa tuliofoji vyeti kusimama kidete kumtetea ndugu yetu makonda (bashite)kama mnavyomuita katika kadhia hii ya kufoji vyeti,
Nafikiri tusimame kwa kauli moja kusema sisi tunaweza kama rais alivyoonyesha imani kubwa kwa ndugu yetu makonda ,ndio maana tumegawanyika katika idara zote za serikali kuanzia polisi,madaktari,na walimu na kwengineko hata jeshini pia tupo,
Tumshukuru ndugu rais kutuona sisi na kuwaacha hao wenye vyeti vyao original,kwani vinavyofanya kazi si vyeti ni mtu na pia tunaangalia utendaji wake uliotukuka kazini,
Kwani nyinyi wenye vyeti original safari hii mtazunguuka na mtakaa sana kwenye mabenchi mpaka makalio yenu yaote sugu na vyeti vyenu mkafungue maandazi
Na mkuu keshasema haangaiki na vipost vyenu na mwaka huu hakuna pa kukimbilia
CCM oyeee
Nawasilisha