kulwa sholoma
Member
- Mar 21, 2016
- 34
- 79
Sera yake ni ya hapa kazi tu, anaposema hakuna njaa na hawez kutoa chakula huwez jua anadhumuni gani, yawezakuwa anaandaa watu kisaikolojia ili wajue hakuna msaada badala yake wapambane kwa namna wanavoweza ili wajipatie ridhiki.....lakin hayo matamko cdhan kama ataendelea kuyasimamia pale itakapoonekana kuwa watu wanahitaji kweli chakula!