Tulia Ackson kwenye Bunge la Dunia amejibu maswali vema sana. Ila ni vema adhibiti 'emotions'

ku handle geopolitics

Muhimu sana eneo hilo ulilolitaja.

Pia media huru Tanzania wabobezi waweze kufanya midahalo, kuhoji sera za serikali na kupanua uwelewa wa wanaCCM na waTanzania kwa ujumla.

Wao CCM wanatumia TCRA, Polisi, Maudhiu, uvamizi Clouds kuzuia watu kutoa madini kwa uhuru hata wao CCM wafaidi ili wasiaibike hata bunge la Afrika ya Mashariki wabunge wetu wanapwaya sana, na kimataifa mbunge Dr. Tulia Ackson ameonesha mapungufu makubwa ...

TOKA MAKTABA :


View: https://m.youtube.com/watch?v=E4QufRSX0S8

08 October 2024
Dar es Salaam, Tanzania



Balozi wa Marekani nchini Tanzania, mheshimiwa Dr. Michael Anthony Battle, Sr. katika mahojiano exclusive kabisa na mtangazaji nguli Salim Kikeke wa Crown Media ya Tanzania.

Balozi huyo anayewakilisha maslahi ya nchi yake na pia misaada inayotokana na kodi walizolipa watu wa Marekani kugharamia miradi kibao nchini hivyo Marekani kuwa mdau mshirika wa maendeleo ya Tanzania ...

Miradi ya ubia kati ya sekta binafsi na ya umma almaarufu PPP ni muhimu kwa Tanzania ...

Pia Marekani kwa kipindi cha miaka 20 sasa imefadhili kiasi cha dollar 7.5 bilioni kama gift (zawadi) bila deni kwa Tanzania , pia kiasi cha fedha za kigeni 350 milioni dollars moja kwa moja kwa CRDB Bank to talk more risk kmahsusi kwa vijana

Balozi Dr. Michael Anthony Battle, Sr. anatiririka na kufunguka mengi ...Julius Nyerere pia alikubali ujamaa na kujitegemea uèndane na maendeleo ya mtu
 
Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.

Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika.

Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili la Dodoma angeshamuangukia muuliza swali na kuagiza atolewe nje .

So far yupo vema sana kwenye kujibu hoja

Soma: Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi
Ndivyo anavyoongea. Alikuwa sahihi. Emotions kuna wakati ina maana yake literally. Kuna mambo ya kuongea uku umeralax na mengine lazima uonyeshe hisa kali. So Madam Speaker alikuwa sahihi. Kaiwakilisha vema nchi. 🙏🙏🙏
 
Sisi nchi zetu bado zinaamini kiongozi mzuri ni yule anaeongea vizuri lakini ni kinyume chake kiongozi mzuri ni yule anaetenda

Hata IQ haipimwi kwa kuongea bali kwa kutenda jambo ndio unauona ubunifu uvumbuzi na utatuzi wa changamoto na kuwasiliana

Hizi ndizo stadi mahili za Karne ya 21 sio explanation na talking
Uko sahihi
 
Hizo taasisi kubwa siku zote huwa na wapuuzi wa Ulaya wenye kudhani kiongozi mweusi ni wa kumpelekesha tu.

Lithuania ni nchi moja ndogo tu, imechoka sawa na nchi nyingi za kiafrika, lakini kwa sababu ipo ulaya mwakilishi wake anadhani anayo haki ya msingi ya kumletea nyodo Dr Tulia.

Majibu ni mazuri kulingana na nia za siri za wauliza maswali, ilikuwa ni aina fulani ya kutaka kumtetemesha (bullying) wamekutana na chuma.
Rekodi yake na matendo yake yanaambaa na yeye popote atakapokwenda. Kabla yakulaumu mtu yeyote ajitazame kwanza, je amewatendea ipasavyo watu wa nyumbani kwake kabla ya kuongoza taasisi za kimataifa? Nadhani hii ishu ya utekaji aliyoizuia isijadiliwe bungeni inaweza ikamletea matatizo. Unakuwaje Rais wa IPU inayofuata demokrasia ya kimataifa wakati nchini kwako unakandamiza demokrasia.
 
Shida hawajajenga mazoea ya kujibu hoja hapa nyumbani, wanahisi mtu akikuhoji ana kuchallenge hence they take it personal.

Kumbe ukishakua kiongozi wa umma una wajibika kwa maneno na matendo yako mbele ya raia
Ingekuwa huku siajabu machawa wakajipanga kukuteka muuliza swali.
 
Ndivyo anavyoongea. Alikuwa sahihi. Emotions kuna wakati ina maana yake literally. Kuna mambo ya kuongea uku umeralax na mengine lazima uonyeshe hisa kali. So Madam Speaker alikuwa sahihi. Kaiwakilisha vema nchi. 🙏🙏🙏
In international diplomacy. Rule no 1. Never go bananas at the podium. In other words do not over react. Do not show your anger even when justified. Keep calm.

Jibu sahihi kwa uzoefu wangu lingekuwa simply

Regrettably President Zelenskys schedule made it difficult when I asked to visit. I look forward to visiting Ukraine at his earliest convenience.

Ila kutoa direct answers kwenye forums hizo ni hatari... you are always walking eggshells.
 
Back
Top Bottom