Tulia Ackson kwenye Bunge la Dunia amejibu maswali vema sana. Ila ni vema adhibiti 'emotions'

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,837
6,319
Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.

Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika.

Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili la Dodoma angeshamuangukia muuliza swali na kuagiza atolewe nje .

So far yupo vema sana kwenye kujibu hoja

Soma: Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi
 
Sisi nchi zetu bado zinaamini kiongozi mzuri ni yule anaeongea vizuri lakini ni kinyume chake kiongozi mzuri ni yule anaetenda

Hata IQ haipimwi kwa kuongea bali kwa kutenda jambo ndio unauona ubunifu uvumbuzi na utatuzi wa changamoto na kuwasiliana

Hizi ndizo stadi mahili za Karne ya 21 sio explanation na talking
 
Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.

Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika.

Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili la Dodoma angeshamuangukia muuliza swali na kuagiza atolewe nje .

So far yupo vema sana kwenye kujibu hoja
Mbona kama ana jazba sana?
Hataki kuulizwa ulizwa...?

View: https://youtu.be/3CigHmba6ws?si=a5XTdLDOiQBVXA2r
 
Aliulizwa ni kwanini yeye kama Spika aliamua kwenda Russia badala ya Ukraine. Kimsingi alijibu na kujieleza vizuri sana sana.

Sema ilionyesha kama amekereka kuulizwa hilo swali maana alirudia maelezo ya majibu yake mara nyingi na pia kuwa kama analalamika.

Nadhani ingekuwa ni Bunge letu hili la Dodoma angeshamuangukia muuliza swali na kuagiza atolewe nje .

So far yupo vema sana kwenye kujibu hoja

Soma: Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi
mwenzio Lucas hampigii promo tena
 
Kimsingi sio kiongozi mzuri, na ameharibiwa na mazigira ya hapa kwetu kuwa ukiwa kiongozi hupaswi kuhojiwa na kuwajibika kutoa majibu stahiki. Tulia Akson ni mmoja wa watunga sheria mbovu hapa nchini. Na sababu hasa ya kuwa hivyo, ni udhaifu wake wa kibinadamu kupenda kunyenyekewa, ama kufurahia watu kuumia.
 
Anaogelea kwenye kidimbwi cha maji machafu CCM. Akija kushtuka amezeeka na kutulia akichambua msusa.Ndiyo hao huanza kuomba msamaha na kujidai system iliwalazimisha kutenda dhulma.
 
Back
Top Bottom