peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,946
Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini. Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao, yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisa. Ila CCM Mkoa na Wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo.
Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani? Mitandaoni Anaonekana Kinana na Wasira, sasa hao wazee Kweli Ddio tengemeo la CCM?
Dr. Philip Mpango na Mama wamepiga kimya!
Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani? Mitandaoni Anaonekana Kinana na Wasira, sasa hao wazee Kweli Ddio tengemeo la CCM?
Dr. Philip Mpango na Mama wamepiga kimya!