Kama kweli una miaka 46 na unafikiria kama mtoto wa elimu ya msingi kuna shida.Hao wamehimizwa na wauza madawa ya kulevya, kukataa zawadi, tutawashughulikia wote.
Kama kweli una miaka 46 na unafikiria kama mtoto wa elimu ya msingi kuna shida.Hao wamehimizwa na wauza madawa ya kulevya, kukataa zawadi, tutawashughulikia wote.
Ametumia fasihi kuwasilisha hoja yake. Pindua maneno yake utamwelewa!Kama kweli una miaka 46 na unafikiria kama mtoto wa elimu ya msingi kuna shida.
Walikutana wajinga watupu.
"Tumekula hadi tumeshiba ndii.. lakini bado tunasikia njaa balaa..! "Mkuu, hapo unataka uelewekeje kwa mfano?katika mwaka ambao serikali imejitahidi kutoa pesa ya dawa ni mwaka huu dawa zipo hasa zile za msingi na hela zipo
lakini serikali haiweza kuwa na dawa zote kwa 100% kwa wale waliopo sekta ya afya wanalijua hilo
Zimekidhi haja kwa kiasi gani. Ni kweli hakuna serikali duniani inayoweza kutoa dawa kwa asilimia 100 kwa watu wake. Lakini serikali yetu imetoa dawa kwa asilimia ngapi kwenye hospitali zake? Halafu dawa za msingi ni zipi hizo?katika mwaka ambao serikali imejitahidi kutoa pesa ya dawa ni mwaka huu dawa zipo hasa zile za msingi na hela zipo
lakini serikali haiweza kuwa na dawa zote kwa 100% kwa wale waliopo sekta ya afya wanalijua hilo
Kumpa mtu kitu ambacho hakiendani na uhitaji hiyo ni kejeli. Ndiyo maana ukioa (ashakum si matusi) utakutana na mkeo atakwambia pale nyumbani hajafuata kukufulia boxer. Wewe unatakiwa ujiongeze. Sasa mgonjwa anataka tiba kwanza halafu hizo puruzai mpatie baadaye. Sijui unaandika?Walikutana wajinga watupu.
Kama wewe unaumwa, rafiki yako anakuja na zawadi kama sehemu ya kukupa pole, kwa nini usipokee hiyo zawadi kisha umwambie matatizo yako mengine?
Hao wagonjwa wamejipalia mkaa, unajua Mzee wetu huwa anafanya vitu antagonistically. Mf.anajua wagonjwa wanataka dawa wanapewa sabuni. Wamegoma sabuni kutaka dawa, watashughulikiwa na dawa hawatapata..
kwa kweli hawa wanajenga chuki kati ya serikali tukufu ya ******** na wananchi wake.
Kwa kweliTupunguze dhihakaa kwa Wagonjwa...
Tuwe waelewa.