Tukio la kusisimua la Donald Trump ndani ya mieleka ya WWE

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,475
12,509
Najua ni wachache wanaokumbuka tukio hili

Hili ni tukio la kuvutia na la kusisimua ndani ya mieleka ya WWE lililopewa jina la "THE BATTLE OF THE BILLIONAIRE`S"

Ulikuwa ni mpambano mkali kati ya Mabwenyenye(Matajiri) Donald Trump na Mmiliki wa WWE Vince Mackmahon

Katika tukio hili Matajiri hawa walisaini mkataba ambao kila mtu atakuwa na mpiganaji wake ambao watapambanishwa usiku wa "Monday night raw".

Mackmahon alimsajili "UMAGA " kama mpiganaji wake ambaye kwa sasa ni marehemu.

1478758949812.jpg

Na Tajiri Trump alimsajili Bob Rashley kama mpiganaji wake
1478758887158.png


Katika mkataba huo, waliwekeana kuwa katika mpambano wa umaga na Bobrashley,,,Atakayepigwa ni lazima bosi wake anyolewe nywele zote abakie na upara

~kama angepigwa Bobrashkey Donald Trump angenyolewa upara
~Angepigwa Umaga Vince mackmahon angenyolewa upara

Siku ya pambano Refa alikuwa ni Steve Austin
Angalia video hapa



1478758857370.jpg
 
haa,Ha njsaDuuuuuuuu!!!! Mcheza kamali ndiye Rais wa Marekani?. Huyu jamaa sijui itakuwaje utawala wake.
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Similar Discussions

Back
Top Bottom