Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 923
- 1,616
Kadi ya Chama cha CHADEMA isikufanye upoteze akili yako hata ile ya kuzaliwa?Acha kudanganya umma.Hakuna kiongozi ambae amefanya ufisadi mkubwa pamoja na rushwa kubwa kwenye nchi hii kama Magufuli.Ufisadi wa 1.5 trillion hautasahaulika kamwe,ufisadi wa Mayanga contractors,ufisadi wa kununua ndege bila budget kupita bungeni achilia mbali ufisadi wa kujenga miradi mbalimbali mikubwa bila budget kupita bungeni.View attachment 1593612