Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

Ipi sahihi:
1. Kufariki au kufariki dunia?
Nahisi sahihi ni kufariki vinginevyo iwe kuaga dunia.
2. Kulala usingizi.
Nadhani kulala si lazima kuwa na usingizi.
Aliyelala akapata usingizi tuseme amesinzia.
ulipohisi nimehisi hivyohivyo na ulipodhani nimedhani hivyohivyo!
 
Kiswahili kumbe kigumu hapa nishaanza kuona nyotanyota...🤣🤣
 
Back
Top Bottom