Tujikumbushe wachezaji waliotamba AFCON miaka ya nyuma

Mie nakumbuka jinsi victor Ikpeba alivyokosa penati yake dhidi ya Cameroon katika fainali ya Afcon mwaka 2000
_642400_victor300.jpg
hii ni moja kati ya mechi bora za fainali AFCON
 
Rabah madjer -algeria
Ibrahim Sunday -ghana
Mohamed timoumi -morroco
Abdoulaye traore -ivory coast
Jules bocande -
Suleyman sane -ivory coast
Opuku nti -ghana
Bosile boli -ivory coast
Charles akunor -ghana
Frank amankwa -ghana
Kalusha bwalya
Charles musonda
Jules Bokande-Senegal
Kalusha Bwalya-Zambia
Charles Musonda-Zambia
 
Hawa midfielders watakumbukwa sana: Ayman Mansour-Egypt; Kinkambo Kingambo-DRC, Serge Alain Maguy-Ivory Coast, Ahmed El-Kass-Egypt, Emmanuel Munaine-Zambia, Tamundele Kakoko-DRC, Teofile Abega-Cameroon, Emile Mboumbou-Cameroon, Muda Lawal-Nigeria, Chibuzor Ehilebgu-Nigeria, Abdul Razak-Ghana. etc etc. Walikuwa moto wa kuotea mbali.
 
Kuna striker moja aliwahi kutokea kwenye Afcon zile za 1974 kule Misri akawa mfungaji bora na wakatwaa na kombe, alikuwa balaa akiitwa Ndaye Mulamba toka Zaire (DRC) na baadaye akacheza World Cup mwaka huo kule iliyokuwa West Germany.
 
Sasa hivi hakuna tena wachezaji, mpira ndio kama umeisha hivyo. Mapesa meengi yameharibu mpira.

Kila mchezaji wa kiafrika anaota ndoto kwenda kucheza Ulaya akapige pesa.

Football is not what it used to be. Money has have a negative ramifications on the world's most popular sport.
 
Hawa midfielders watakumbukwa sana: Ayman Mansour-Egypt; Kinkambo Kingambo-DRC, Serge Alain Maguy-Ivory Coast, Ahmed El-Kass-Egypt, Emmanuel Munaine-Zambia, Tamundele Kakoko-DRC, Teofile Abega-Cameroon, Emile Mboumbou-Cameroon, Muda Lawal-Nigeria, Chibuzor Ehilebgu-Nigeria, Abdul Razak-Ghana. etc etc. Walikuwa moto wa kuotea mbali.
Ahmed el kass hakuwa kiungo alikuwa mshambuliaji huyu mzaliwa wa alexandria huyu pana waqt chelsea walimtaka akakataa na kubaki zamalek. Mudashiru (muda )lawal kilikuwa chuma hiki chenye ladha .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom