GODLIVER CHARLE
Member
- Mar 2, 2011
- 86
- 20
Hicho siyo kichaga, Bukoba Kwetu!Wagira mayo!
Mbirwana nyie nao!!! mmmmmh!
hivi ndizi mbivu kwa wachaga wa Uru wanaziitaje vileeeeee!!!!
wenyewe wanaita "MAKUNDUU" ahahahahah nyie watani zangu nyie mna hatari haahhahMbirwa
Mbutaaaa!!Mbutukuuu.....
Itondo.sijui ni lini nchi yetu na watu wake wataacha kuzungumzia ukabila!!! sasa kama hukijui si uende huko kijijini kwenu ukajifunze, mpaka muanze kututangazia kwenya majukwaa na mitandao ya kijamii kwamba kuna wachaga mnataka kutambika!!
sijui ni lini nchi yetu na watu wake wataacha kuzungumzia ukabila!!! sasa kama hukijui si uende huko kijijini kwenu ukajifunze, mpaka muanze kututangazia kwenya majukwaa na mitandao ya kijamii kwamba kuna wachaga mnataka kutambika!!
Nategemea kuanzisha darasa wewe uje na mada yako nami nikupe tafsiri.Ada itakuwepo maana hii kazi inatakiwa kufanywa na wazazi lakini wako bize.