Kama umeongea kitu mkuuWanawapeleka kuzuia mjadala bungeni
Kama umeongea kitu mkuuWanawapeleka kuzuia mjadala bungeni
Wote chichiem???
Wanapandishwa saa ngapi? nataka nikashuhudie
Sasa wewe ume tanguliza mboga ugali uje baadae,wapi majina yao?
Na alishinda tena kwa landslide yupo bungeni.Hivi yule wa Bahi kesi yake iliishia je?
Yuko Victor Mwambalaswa (Lupa), Kangi Lugora (Mwibara) na mwingine jina limenitoka kidogo).
Wahukumiwe fasta. Halafu hawa wote ni wafuasi wa Lowasa. Sijui kwa nini rushwa inatawala kwenye nyoyo zao
Hata mie nilikua na swali kama hilo CCM ni komedi tupu itakuwa kama kesi ya Mbunge wa Bahi hakuna jipya.Hivi yule wa Bahi kesi yake iliishia je?
Kwakweli kuvuliwa uanachama in jambo muhimu ili chama kioneshe kina cchukizwa na rushwa.Mleta mada cjawai kua na mashaka nae hata kidogo ila wakiwepo wa upinzani itakua jambo la aibu sana na pia hao wabunge itabidi wavuliwe uanachama wao ili kulinda heshima ya chama