Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

Status
Not open for further replies.
Tangu lini Mkono kaanzisha biashara ya kukodisha magari? Zito anapesa gani ya halali ya kukpdisha Gari kaunzia kipindi hicho hadi Leo? Je tunaweza kuona resiti za malipo baina Yao? Tumuamini Mkono au Zito kwenye idadi ya magari na namba anavyoyamiliki? Jifunzeni kufikiria, Zito belongs to the past my friend

Ndio hapo sasa!!
 
Naona Mkono amepigilia msumari wa Moto kwa Zitto!
Tangu lini mpiganaji akanunua au akapewa bidhaa na adui,akipewa SUMU je si muvie itakuwa imeisha?
 
Chama kwishaaaa

ni nani huyo aliyemweleza mwanasheria msomi kuwa Mzee Mkono alimpa zitto magari? si wangesema tu zitto alinunua gari moja na kukodi moja,ama hii ingempa zitto ushindi?
uongo huchelewa kuja na ukija hukuta mambo yameshaharibika
 
Huyu Mkono anashirikiana na Lissu Kummaliza Zitto nini? Zitto sasa inabidi akaoge maji ya mto uvinza naona kila mtu anamkimbia.Mikosi hiyo.
 
Chadema as an Institute failed !!! There was a better means to deal with this issue !! The way they have dealt with this issue made them "too small" !!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom