TUCTA: Kima cha chini kiwe 750,000 na kiwango cha kodi kipunguzwe

YEYE ANGEKUJA NA ANALYSIS YA IMPACT YA NYONGEZA YA HUO MSHAHARA KATIKA MAPATO YA SERIKALI. AELEZE JE PESA ZA KULIPA MISHAHARA MIKUBWA ZIPATIKANE VIPI.SIYO KUSEMA WENGINE KODI IONGEZWE ILI WAO WALIPWE VIZURI ..HILI HATUTAKI KULISIKIA.
NA WEWE NI MFANYAKAZI
 
Hawa TUCTA nao , wapo kama kinyonga , siyo 350000 tena?
Nafiri wamechanganyikiwa kabisa sijui kama wanajua walicho kiongea...halafu ni wazi hawana msimamo na wanacho kisema nilitegemea waendelee kusimamia kwenye tatu na nusu na ni reasonable kabisa.
 
Serikali ya Tanzania imetakiwa kushusha kiwango cha kodi kinachokatwa kwenye mishahara ya wafanyakazi sambamba na kupandisha kima cha chini cha mshahara kufikia 750,000 ili kuweza kuboresha maisha ya wafanyakazi.

Katibu mkuu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini TUCTA Bwana Nicholous Mgaya amesema wafanyakazi wengi wanaishi katika mazingira magumu kutokana na kipato kidogo wanachopata huku wakizungukwa na kero nyingi kutoka kwa waajiri wao ikiwemo kulipwa mishahara kidogo.

Mgaya amesema ni vyema serikali katika awamu hii ya tano ihakikishe kuwa sera ya uboreshwaji mishahara inaundwa ili kuweza kuwadhibiti waajiri ambao wanashindwa kufuata sheria na taratibu za ajira.

Mgaya pia amekemea suala la raia wengi wa kigeni kuweza kupewa ajira kwa wingi katika maeneo ya migodi, hoteli zenye hadhi ya kimataifa, viwandani na kwenye shule binafsi na kutaka msako wa kuwaondoa uendelee ili fursa za ajira ziwafikie watanzania.
Mbona serikali imeshaahidi kuwa itashusha kiwango cha kodi wanachokatwa now wafanyakazi.??
 
Mgaya amekuwa aliimba wimbo huo from time immemorial, he should stop that and propose the way out and not narrations
 
Sio Serikali tu ikomaliwe kuongeza mishahara je sisi wenyewe tunazalisha ?? au ndio kutwa mitandaoni mwisho wa siku unataka 750,000 kwa kipi hasa unachofanya ??? Tuanze kubadilika kwanza na kufanya kazi kama hao wenzetu tunaolalamikiwa wanakuja kuchukua Ajira zetu , tuache UNAFIKI ! WATANZANIA WENGI WAO WAVIVUUUUU TUNAJUA MAJUNGU TU NA KUTUKANANA MITANDAONI , TUBADILIKEEE KWANZA
Hata huku mitandaoni ni moja ya kazi hizi habari ungepatia wapi
 
Wafanya kazi tunaonewa sana hasa sisi kiwango cha chini! Tunakatwa kodi kwenye mshahara moja kwa moja kwanini tukienda kununua chakula au vitu vingine tunakatwa tena kodi wakati tulishalipa? kama mtu akinunua vitu vingine madukani anakatwa kodi serikali haioni kama inatukata kodi mara nyingi tunapo nunua bidhaa hizo?
Ni mtazamo tu! lakini ukweli ni huo!!!!!!!!!!
nategemea kiongozi wetu angeliongelea hili mbali ya kuchimba mkwala ambao hawezi kuusimamia!!!!!!
 
Serikali ya Tanzania imetakiwa kushusha kiwango cha kodi kinachokatwa kwenye mishahara ya wafanyakazi sambamba na kupandisha kima cha chini cha mshahara kufikia 750,000 ili kuweza kuboresha maisha ya wafanyakazi.

Katibu mkuu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini TUCTA Bwana Nicholous Mgaya amesema wafanyakazi wengi wanaishi katika mazingira magumu kutokana na kipato kidogo wanachopata huku wakizungukwa na kero nyingi kutoka kwa waajiri wao ikiwemo kulipwa mishahara kidogo.

Mgaya amesema ni vyema serikali katika awamu hii ya tano ihakikishe kuwa sera ya uboreshwaji mishahara inaundwa ili kuweza kuwadhibiti waajiri ambao wanashindwa kufuata sheria na taratibu za ajira.

Mgaya pia amekemea suala la raia wengi wa kigeni kuweza kupewa ajira kwa wingi katika maeneo ya migodi, hoteli zenye hadhi ya kimataifa, viwandani na kwenye shule binafsi na kutaka msako wa kuwaondoa uendelee ili fursa za ajira ziwafikie watanzania.
Hiyo Mgaya ana shughuli yoyote inayoajiri watu? Maana ni rahisi kutamka lakini yeye akipewa kampuni yoyote ya kibiashara isiyotegemea ruzuku hata mbezi mitatu ataweza kuiendesha.

Apiganie serikali iweke ukomo wa bei za bicha muhimu kama mchele, unga, mafuta ya kupikia na maharage hilo la mishahara soko litaamua
 
Wafanya kazi tunaonewa sana hasa sisi kiwango cha chini! Tunakatwa kodi kwenye mshahara moja kwa moja kwanini tukienda kununua chakula au vitu vingine tunakatwa tena kodi wakati tulishalipa? kama mtu akinunua vitu vingine madukani anakatwa kodi serikali haioni kama inatukata kodi mara nyingi tunapo nunua bidhaa hizo?
Ni mtazamo tu! lakini ukweli ni huo!!!!!!!!!!
nategemea kiongozi wetu angeliongelea hili mbali ya kuchimba mkwala ambao hawezi kuusimamia!!!!!!
Magari ya maji ya kuwasha ilikula pesa yetu mingi sana
 
Suala la kuongezewa mshahara sawa, ila ukitaka mshahara uongezwe yet unataka kodi isiongezwe utakuwa unakosea, suala la kodi ni la kihisabati..... Labda sera ya PAYE iondolewe!!!
 
Wafanyakazi wa nchi hii hawana umuhimu wowote mpaka walipwe kiasi kikubwa namna hiyo. Ni bora tuwalipe mishahara midogo ili mabilioni ya shilingi tuwaachie akina Lugumi waendelee kuwaumiza dada zetu huku uswahilini.
 
That is the real thing, waajiri wengi ni wspunjaji wa mishahara na kwa vile wamebanwa kwenye ulipaji kodi hivyo watahamishia upunjaji wao kwa wsnyonge wao ambao ni watumishi sekta binafsi
 
Kila cku hao wakina mgaya wanakuja na maswala yao ya kima cha chini na hakuna kinachofanyika zaidi ya wao kupewa pesa na kupotea zao.wasinichose hao
 
Back
Top Bottom