moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
Kumbe na wagogo mna asili ya ubishi?!!! Nilikua najua nyie asili yenu ni omba omba tuSubirini tu! kwani Lagos na Abuja si ile ile DSM to Dodoma Mkuu? Nimesahau nimesikia na kuona nyumba za mabalozi zimeanza kujengwa dodoma.
Waziri Simbachawene: Majumba mengi ya serikali dsm yatabaki kuwa magofu hayana watu kwa kuwa serikali inahamia dodoma.