Tuache kulialia kila wakati juu ya mapenzi, tufanye shughuli zingine

Ndugu zangu tumekuwa tukilalamika na wengine kulialia juu ya mapenzi je hakuna kingine cha kufanya? Yaache mapenzi yaende zake tafuta jambo la kufanya na maisha yatasonga mbele.

Tunalia mara moja tu ila ukilia lia kila mahusiano mapya huna budi kujichunguza.
Kuna viumbe ni nuksi ndugu. Wengi wameafektika kiakili na wengine wameuana ka amajuzi arusha we wasema nini.
 
Kuna viumbe ni nuksi ndugu. Wengi wameafektika kiakili na wengine wameuana ka amajuzi arusha we wasema nini.
hiyo nayo ni ingine sasa.

basi nikuache ulieeee weeeeeeee mpaka basi ila mi ni ushauri kwenu tu.
 
Back
Top Bottom