Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,752
Obama alikuwa mpuuzi sana
Mkuu, kwa wale ambao hawajui undani wa OBAMA ndio wanamshagaa, lakini wanaojuwa skeleton alizofungia kwenye closet ya chumbani mwake hawashagazwi kwa utetezi wake mkubwa aliokuwa nao kuhusu kudi la LGBT - alipania ku-propagate ujinga wake huo mpaka kwenye third World Countries.