Trump ashinda tena Nevada, aelekea kuteuliwa Republican

Kwa Trump mambo yanaweza kuwa tofauti na wengi wadhaniavyo, ila acha tusubiri tuone ni nini wamarekani wataamua juu ya huyu jamaa,
 
Acha kuuma na kupuliza,wewe si shabiki wa Trump isipokuwa ushaona upepo wa Trump kuukwaa uraisi uko 85%. Wamarekani si kama siasa za CCM za kuzushia watu ugaidi na ukabila ili washinde.
Mkuu ulifuatilia uchaguzi wa 2008?, unakumbuka Obama alizushushiwa nini na kambi ya Clinton? nlikuwa najaribu kujibu hoja yako ya kuwa huko hamna kuzushiana!!
 
Inasemekana primaries anazoongoza ni zile zenye wajumbe wachache sana. Nimemsikiliza prof. Richard alipokuwa akihojiwa na DW, alisema ni mapema mno kumtabiria ushindi Trump maana majimbo makubwa bado hayajapiga kura na anaamini huko ndo Trump anaenda kugalagazwa na Ted Cruz! Ted ndiye mgombea bora kabisa wa GOP kwa mwaka huu na wala siyo Trump!
 
Wazalendo wa kweli wa Marekani, wale ambao walikuwa hata tayari kuifia nchi yao, hawamwoni hivyo mnavyodhania. soma hapa. I think watu hapa Bongo wanamshabikia bila kujua anasimamia nini, amesema nini, na chama chake kinasimamia nini, au "right wing" na "conservative" maana yake nini. Wengi wanadhani amewasema akina Museveni na Mugabe. Hajasema, na ninafikiri hata hawajui.

The Rise of Donald Trump Has Cemented the GOP’s Legacy as the Party of Stupid
Aliandika Allen Clifton
This is a guy who’s called women fat pigs, made racist comments about African-Americans and has almost certainly been involved in some unethical business dealings throughout his career – yet you almost never hear about any of that.

Trump has become a right-wing hero because he’s just saying whatever the hell it is he thinks Republicans want to hear. He doesn’t care if most of what he’s saying is complete nonsense, because he knows conservatives couldn’t care less about facts or truth – they just want someone who tells them what they want to hear. He’s pandering to racism, bigotry and ignorance. If you can do that effectively (which he has) conservatives will love you. Not only that, but he’s all over the place with issues. In a period of two days I heard him profess he wants to raise taxes on the rich, then falsely state that we’re the most taxed nation in the world. He flip-flops so often he makes Mitt Romney look consistent.
Watching thousands of people showing up to hear him speak is like watching thousands of people proudly boast about their participation in one of the most embarrassing political moments in U.S. history. These people are literally so clueless that they think it’s everyone else who are the idiots.

Read more at: The Rise of Donald Trump Has Cemented the GOP's Legacy as the Party of Stupid
 
Aendelee kutibu kwani matatizo yahitaji wataalam wa neurosurgeon yanasumbua sana watu.
kaona mbali anataka awape wamarekani kinga ya neurological disorder kutokana na wengi wao kuwa depressed na ugumu wa maisha,kukosa ajira na kutokuwa na hofu ya Mungu anataka kurudisha marekani yenye ntumaini jipya
 
Trump may not be the best candidate however his ability to say what many fear to say is distinguished character amongst all the presidential aspirants
Oh? Like what? Like saying Mexico is sending rapists, thieves, gangs etc while the majority of farm workers in the US are from Mexico? What? Like saying Obama was born in Kenya? What? Like saying the woman was asking her tough questions because she was having her period? What? Without blinking he said he will bar Muslims from entering the US because of terrorism? The truth is the majority of terrorism in the US is done by white people? Did he say anything about that? He surely says moronic, disgusting and ridiculous stuff. And you like what he says???? I don't know what to think of you.
Ah, nilisahau, Wabongo wameng'ang'ania kwamba alisema atawafunga viongozi wa Afrika. Mbona mawazo mgando sana! Hakusema na ni mawazo duni kumfikiria Mmarekani kuwa mkombozi wetu. Ni kujilengesha kwa kijinga. Anaweza kuwa hata haijui Tanzania iliko. Hizo habari zimezushwa na watu wa Afrika tena na magazeti ya satire. Trust me, soma habari zake kwenye vyombo vya Marekani uone ukweli wa mambo.
 
We are talking about somebody who has no experience in public service never worked in a govt,somebody who has best experience in hosting reality (entertainment)shows.Though I don't like the U.S.but any U.S. PRESIDENT should not just be the U.S. president but the president who leads the whole world by establishing diplomatic relations &multilateral relations with other nations.Mmewahi kumsikia U.S. president yeyote akikashifu presidents wa nchi nyingine kwa maneno makali hivyo Kama trump?Pamoja na kwamba namkubali Trump kwa anayoyaongea na baadhi yana ukweli but HE WILL NEVER BE THE US PRESIDENT.
What if he becomes?
 
Back
Top Bottom