Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,780
- 4,610
Rais wa Marekani Donald Trump amesaini agizo la rais kupiga marufuku wanamichezo wa transgender kushiriki kwenye michezo ya wanawake.
Akisaini agizo hilo Ikulu ya White House, Trump alisema, "Kuanzia sasa, michezo ya wanawake itakuwa ni kwa ajili ya wanawake pekee."
Maana ya agizo hilo ni kwamba, kwa wale wanaume waliojibadilisha jinsia na kuwa wanawake HAWATARUHUSIWA kushiriki kwenye michezo ya wanawake.
Miongoni mwa waliohudhuria hafla hiyo walikuwa ni Spika wa Bunge la Marekani Mike Johnson na Mbunge Marjorie Green, watu wawili ambao kwa muda mrefu sana suala la wanaume wanaojibadilisha jinsia kuwa wanawake kushiriki kwenye michezo ya wanawake.
===========================================================
US President Donald Trump signed an executive order on Wednesday seeking to ban transgender athletes from participating in women's sports, in his latest move targeting transgender people since returning to office.
"From now on women's sports will be only for women," Trump said before he signed the order at the White House, surrounded by dozens of children and female athletes.
"With this executive order the war on women's sports is over."
Top Republicans including US House Speaker Mike Johnson and firebrand Congresswoman Marjorie Green were among those in the audience to watch the signing ceremony.
"We will defend the proud tradition of female athletes, and we will not allow men to beat up, injure and cheat our women and our girls," Trump added to applause and cheers.
Trump's order allows US government agencies to deny funds to schools that allow transgender athletes to compete on women's teams.
Source: Citizen Digital