Trump amuonya Ayatollah Khamenei wa Iran. Amtaka kuchunga kauli zake

Huyo Trump alisema hakuna mmarekani kaumia wakati kunabarua ya Pentagoni inaonyesha waliumia vibaya ni 135 na 150 wako na maumivu tofauti yani maneno ya Iran ni kweli.

85 wamekufa na 200 wameumia na cnn imeisha onyesha kipigo walicho kipata mpaa wachunguzi wa habari wanasema kipigo hicho walicho pigwa na Iran na hakuna aliyeumia kweli?

Sa wamekuja na news eti 11 wameumia wako baadhi wamepelekwa Kuwait na wako wamepelekwa Germany. Si ajabu ukasikia wamekufa 11 😂 😂 :cool:

Iran ni Moto na Trump hawezi kusogea tena pale.
 
Maandamano Yakuwapi ?
Mkuu Ni kwamba haufahamu tunavoongea hapa saiz wairan wanafanya maandamano kuipinga serikali ya Ayatollah au ndo kuchangamsha wanajamvi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Unahisi Kuna Kitu Kinapendwa Na Kila Mtu DUNIANI ?!

80% Ya WAIRAN Wanaipenda Serikali Yao Kuliko Hao Wachache Walobakia Ambao Wengi Wao Wana Maslahi Binafsi Kutoka Kwa Wamagharibi

MAKE IRAN GREAT AGAIN.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Trump alisema hakuna mmarekani kaumia wakati kunabarua ya Pentagoni inaonyesha waliumia vibaya ni 135 na 150 wako na maumivu tofauti yani maneno ya Iran ni kweli.

85 wamekufa na 200 wameumia na cnn imeisha onyesha kipigo walicho kipata mpaa wachunguzi wa habari wanasema kipigo hicho walicho pigwa na Iran na hakuna aliyeumia kweli?

Sa wamekuja na news eti 11 wameumia wako baadhi wamepelekwa Kuwait na wako wamepelekwa Germany. Si ajabu ukasikia wamekufa 11 😂 😂 :cool:

Iran ni Moto na Trump hawezi kusogea tena pale.
Barua ya "Pentagoni".

"Pentagoni" ya wapi?
 
Back
Top Bottom